Friday, July 6, 2012

Ipi inafaa nyumbani kwetu.........

 Kwa wale wenye nyumba ya ghorofa, chini ya ngazi waweza buni kitu, na ukakiweka na kikawa kizuri badala ya kupaacha wazi tuu......
 Mpangilio mzuri wa mawe, hupendezesha nyumba. (kokoto)....
 Gazebo......
 Gazebo.... zinapendeza sana, nje kwa kupumzika wakati ukipumzika, ama kutafakari, ama kukaa na wageni wako...
 Kokoto, tunazo hizi hapa kwetu TZ, tuzitumie....
Haya ni magogo, yaliyokatwa vizuri na kupachikwa chini kama yanavyoonekana, na yanavutia sana......ni ubunifu ndio unaohitajika.....

Nawatakia weekend njema.......

No comments:

Post a Comment