Wednesday, July 25, 2012

Maandalizi ya Sikukuu ya Idd kwenye nyumba zetu yakianza mapema hupendeza......

Napenda kuwakaribisha wote Homez Deco, katika maandalizi ya sikukuu ya Idd,  Kwa wale, watakopenda ku pamba nyumba zao kwa ajili ya sikukuu, wanakaribishwa.

Homez Deco tunatoa huduma zifuatazo:
  1. Kupaka nyumba rangi
  2. Kupanga fanicha
  3. Kupamba nyumba
  4. Kushona pazia
  5. Kutoa ushauri
  6. Garden marekebisho
  7. Kuuza mapambo ya ndani, kama vitambaa vya mezani, foronya za mito, mito
Tunawakaribisha sana. na tunawatakia ramadhani njema......

1 comment:

  1. naomba kupangiwa nyumba na kupambiwa nipo arusha,nakupataje jamani

    ReplyDelete