Thursday, July 5, 2012

Site Mbezi beach.....Tuliweka pazia...na chuma za pazia

 Dinning room..........Rangi ya nyumba ni light blue, na ukiangalia kwa makini, unagundua kua mwenye hii nyumba anapenda neutral colors..... mpangilio ni mzuri, na hakujaza vitu dinning, dinning si pakujaza vitu, ndio paonekane pamependeza.....zingatia ukubwa wa dinning room yako, ndio uweke furniture, Dinning pamependeza.......
 Living Room........Hapa pia ni pazuri, na nilipenda alivyoweka carpet yenye red, maana ime weza kuchangamsha....Ukijiamini unaweza... kupamaba nyumba yako.......

Hongera kwa mwenye nyumba.......na asante kwa kunipa nafasi ya kupiga picha na kuja ku share na wadau....


1 comment:

  1. kazi yako ni nzuri sana,je unaweza kuweka cost ya hizo chuma za kuwekea mapazia kwa size tofauti? na racks za aina mbalimbali na cost zake haswa racks za jikoni na bathrooms.thanx

    ReplyDelete