Wednesday, July 4, 2012

Duka jipya la nguo, na mapambo ya harusi......likiwa kwenye maandalizi......

Mwenye duka akiwa kwenye pozi ndani ya duka lake...

Kwa kusema ukweli, mimi hua ninapenda sana sana mtu akijiamini na kufanya kazi yake mwenyewe, nilipita nikiwa ninakwenda saloon kwa dada yangu, nikakutana na hiliduka, na mwenye hili duka ni mdau wangu sana wa website yangu.......

Amemua kufungua duka, na kwa kweli amekua mbunifu, wa kuremba duka lake.... hua ninasema ukijiamini na ukiwa unajiunza unaweza.......

Ona sasa hili duka lilivyopendeza.....

Hongera sana sanaaaaa....na mungu abariki kazi ya mikono yako.....

Duka likiwa tayari nitawaletea humu humu............

No comments:

Post a Comment