Tuesday, July 10, 2012

Racks........

 Kwa wale walio na mabafu madogo na ambayo yameunganika na toilets..... nawashauri wawe na rack aina hii, ina save space, na unaweza kuwaka vitu vingi kwa wakati mmoja.... bei ni tshs. 180,000/-

Hapa kwa wale wenye jiko dogo, hii pia ni nzuri sana kwa kuhifadhi vinywaji vyako, na glass zako..... bei ni shs. 170,000/-


No comments:

Post a Comment