Thursday, June 28, 2012

Site mbezi......Homez Deco, tuliweka pazia......

 Nyumba ikiwa bado haijawekwa pazia.........
 Mafundi wakitoa pazia, na mwingine aki drill kwa ajili ya kuweka chuma za pazia,
 Chuma zimewekwa, na tunaanza kuweka pazia sasa.....
 Nikikagua kazi......

Tayari pazia zimewekwa..... Kwa kweli pazia hupendezesha sana nyumba, kama mnavyojionea.........Design hii ya pazia ni Eyelet.......

2 comments:

  1. Kwakweli kazi imetulia sanaaa!Hongera sana!Naomba kujua curtain poles mita mbili double hizo nyeusi ni kiasi gani.

    ReplyDelete
  2. nashukuru sana ndugu mdau, bei ni 70,000/ kwa dirisha. nani set, pamoja na usafiri kwa watu wa dar, maeneo ya karibu....

    ReplyDelete