Thursday, July 5, 2012

Mpangilio wa Kabati za nguo.....

 Walk in closet
 L-shape
 single rooms
 single rooms
 single room
 Walk in closet
 One side closet
 L-shape
 One side
Leo, nimeona tuangalie upande wa kabati za nguo, Hua mara nyingi tumekua tukiweka tuu kabati za nguo bila kujua ama kwa kusia tuuu.....

Kabati, zinawekwa kulingana na matumizi yako, na ukubwa wa chumba......

Picha hapo juu zinatuonyesha ni jinsi gani unaweza kua na kabati ya nguo, inayoendana na chumba chako, na shape ziko nyingi....kama zinavyoonekana...

Hapa utapata design ya kabati itakayokidhi mahitaji yako......

Kuna design, ya L-shape, U-shape, na kwa wale wenye walk in closet etc

Nawatakia siku njema

NB::

Hapa nimeweka muone ni jinsi gani unaeza ukapata Layout ya kabati lako la nguo, sio lazima ikawa kama hizi, nasisitiza, ni layout ndio ninachokiongelea, kwa wenye chumba kimoja, nyumba kubwa etc......

No comments:

Post a Comment