Tuesday, July 3, 2012

Site.....Kunduchi....tuliweka pazia...Pazia zina design nyingi tu za kufunga, moja wapo nii hii,.... sasa nitaendelea kuwaletea design za kufunga pazia mara kwa mara,,, na inapendeza......

Yeye huyu hakutaka pazia nyepesi....

Thanks mteja wangu...... kazi ilikwenda salama......nakutakia kila la kheri.......

4 comments:

 1. Mambo Sylvia, pole na kazi nzuri mummy, nimependa sana haya mapazia, samahani unaweza kuniambia niandae kiasi gani, maana nina site inakaribia kuisha, mdau

  ReplyDelete
 2. Samahani, nahitaji poles na pazia, unaweza kuniambia ni poles gani nzuri za chuma au za mbao?? Nakutegemea bidada

  ReplyDelete
 3. Hi,Hongera kwa kazi nzuri, Pole kwa majukumu mazito ya kuelimisha jamii.
  Nina ombi moja kwako, nataka kufahamu durability ya curtains poles za mbao na zile za chuma, Pia naweza kutengeneza kwa bei zetu za kawaida? Nipe price please Ahsante mdau

  ReplyDelete
 4. habari zenu wadau,

  Asanteni sana kwa kupenda kazi zangu. naomba niwajibu kama ifuatavyo...

  1) pazia inategemea na design, na pia ni lazima tujue ukubwa na urefu wa dirisha. kwa design kama hiyo tunashona 35,000/- na kuja kufunga, pazia zinakua pisi 3 ila kitambaa ni cha mteja. karibu

  2)poles ambazo ni nzuri ni za chuma, maana hazipindi, za mbao hua inafika kipindi zinapinda, maana ile ni mbao, na zinalegea, tundu zake ukutani zinakua ni kubwa hivyo zinalemewa na kudondoka.

  3)Poles za chuma hua zinadumu kuliko mbao, na bei ya poles kwa dirisha 1 set ni 70,000/- karibuni

  3)

  ReplyDelete