Monday, July 9, 2012

Pazia, site ya Tabata......Tuliweka pazia, na tulibadilisha cover za sofa.......pazia waweza kufunga design tofauti tofauti, kulingana na upendavyo...

katika nyumba hii kwenye pazia ana curtain box.

na hizi ndio zile sofa zinazouzwa, kabati pamoja na meza ya chakula........vyote viko katika hali nzuri....

Nashukuru sana kwa wateja wangu hawa........nawatakia kila la kheri......

No comments:

Post a Comment