Monday, July 9, 2012

Furniture za chuma zinavyopendezesha nyumba.......
 Chuma hupendezesha sana nyumba, na kuvutia sana... ni jinsi tu ya kuzipangilia, na ni rahisi kuzi maintain, kwani kwa usafi, unaona mpaka uvunguni, hauhitaji mpaka siku ya weekend ndio ufanye usafi, ama kugombana na msaidizi, kua kuna mahali haujagusa kufanya usafi.....

Nawatakia siku njema...........

1 comment:

  1. hauna branch huku mikoani..mfano me nipo dodoma nahitaji kitu unakuaje?kazi njema

    ReplyDelete