Monday, July 16, 2012

Site ya Mbezi, Tuliweka pazia.....

 Living room....
 Living room, kwa mbali.....
 Chumba cha watoto.....
 Katika pozi......
 Nikiwa nimepozi kwenye kazi yangu........last week nimeumwa na flue na kifua.... hali ya hewa hii, imekuja vibaya kwangu.... sasa hivi afadhali nashukuru mungu nimepona, ingawa sauti kidogo.....bado...
 Pazia hupendezesha sana nyumba......katika nyumba hii ndio kwanza wenye nyumba walikua wamehamia, na kulikua hakuna pazia.....waliniita nikaenda kupima na kuwashonea, pazia za nyumba nzima......

Kama tunavyoona sitting room sofa yake ni ya kijani, ikiwa na mito yenye mistari ya kijani, na nyeupe, pamoja na kama madoa madoa kwa mbali ya kijivu hivi..... kwa mbali unaweza kuona kapeti, kapeti hiyo iko kwa muda wakati wakijipanga kuweka kapeti ingine.....

Hapa tunaona poles za mbao, zinapendeza pia, ukiweka pazia nzuri na zilizotulia....

Nawashukuru sana wateja wangu.....na nawatakia makazi mema.....1 comment:

  1. jamani pazia zuri ingawa sina hakika kama limeendana na kochi na na rangi nyingine hapo ndani. liko off to me

    ReplyDelete