Monday, July 23, 2012

Duka linalouza wallpaper hapa Dar-Es-SalaamNimefanikiwa kuliona duka linalouza wallpapers, maana niliombwa sana sana na wadau niwajulishe ni wapi wanauza wallpapers.

Duka hili liko nyuma ya billicanas club, kuna round about na shell ya bp, hilo duka linatazamana na hiyo shel linaitwa Dolson...

Karibuni sana.....

4 comments:

 1. umesaidia kuna mteja kaja kwenye duka langu akaniuliza ni kamwambia ngoja nikaingia kwenye net chap nikampka jina la ili duka la wallpapers cool thnx

  ReplyDelete
 2. Hallow,
  Hizo wallpapers zinauzwa shiling ngapi na mafundi wa kuziweka wanapatikana katika hilo duka? Je office wall papers wanazo pia?

  ReplyDelete
 3. zinauzwa sh. ngapi maana na mimi nazitafuta

  ReplyDelete
 4. Ungetutupia namba ya simu. Tunazihitaji sana

  ReplyDelete