Wednesday, April 14, 2010

Hizi ni baadhi ya rangi za nyumba zinazotakiwa kupakwa nje ya nyumba yako, Ona jinsi zikichanganywa zinavyopendeza.



Unaweza ukatumia rangi zaidi ya tatu na ikapendeza kama inavyoonekana hapa.

2 comments:

  1. Habari zenu nina nyumba yangu imefikia kupigwa rangi sasa nataka kujua mnatoa ushauri tu au mnafanya na kazi nyinyi wenyewe?

    ReplyDelete
  2. Habari zenu nina nyumba yangu imefikia kupigwa rangi sasa nataka kujua mnatoa ushauri tu au mnafanya na kazi nyinyi wenyewe?

    ReplyDelete