Tuesday, January 19, 2010

Muendelezo wa kazi za Mrs. Jossyane ni baadhi ya sehemu ambazo tunaenda majumbani na kufanya kazi hse organizang na kupanga vitu mbalimbali




Inabidi watu waelewe vizuri kuwa na nyumba ni vizuri ila lazima kuwepo mpangilio mzuri wa vitu, kuanzia vyumbani makabati ya nguo dresser, etc
siyo tena vitu vinarundikana, uchafu, nguo zinakuwa kwenye marundo zimetapakaa kila kona wakina mama wakina dada hata wakina baba usafi ktk nyumba ni jukumu la kila mmoja, hata watoto, wafundishwe kuweka nguo zao, vitu vyao ktk hali ya usafi siyo tena nyumba inageuzwa dampo la vitu, pia tujifunze kuwa na vitu vichache na vyenye kwenye mpangilio, mzuri nimeonyesha uwekzaji wa nguo ktk makabati wakina baba wakina kaka, muangaie hapo uwekaji wa tai zenu suluali nk, na mpangilio wa bedroom kw ujumla ikumbukwe kamba nusu ya maisha yako uwa ni chmbani kwako lazima ulale kwenye kitanda kisafi kilichotndkwa vizuri fungua madirisha upate hewa safi hewa chafu marudikano wa vitu chumbani unaweza kupta magonjwa mbalimbali usafi kwa kila nyumba ni muhimu,na kwa kila familia na si suala la mama peke yake hata nyinyi wakona baba na watoto wote mnajukumu, la kuweka nyumba safi,

3 comments:

  1. Mambo yako mdada mrembo,jamani hiyo lounge imenivuta na huo upangaji wa tai my dear mmh hiyo ni bongo nimemadmire huyo mdada mwenye hii nyumba,je hicho kidude cha kuwekea tai kinapatikana hapo kwako?Salute nimependa sana sana sanaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Thnx so much mrs Jossyane 4 the advice....I appreciate.I wil help a lot.I realy luv the work u guys r doing.Kip t up!Lol

    ReplyDelete
  3. Hiyo hanger ya tie sina, ila hata mie nimeipenda, ntajitahidi kuitafuta nitawajulisha.

    Tutafanya pia training ya kuwaonyesha ni jinsi gani ya kupanga vitu nyumbani kwako, kwa mpangilio.

    Nadhani itasaidia sana, Lecturer atakua Mrs. Jossianne mwenyewe. Nitawajulisha ni lini booking zitaanza.

    ReplyDelete