Friday, January 22, 2010

Baadhi ya upangaji wa vyombo mezani kwa ajili ya chakula. unaweza ukapanga hata home kwako sio lazima mpaka uende hotelini

4 comments:

 1. Nakupongeza kwa kazi nzuri ya kutuelimisha mambo ya nyumbani dada Sylvia, kama unaweza pliz tuwekee na jinsi ya kukuja hizo napkins na pia jinsi ya kuandaa chakula kwa mpangilio wa kuvutia mezani. Wengine tumezoea kujaza 'hoti poti' mezani

  ReplyDelete
 2. Hallo Sylvia! mimi nyumba yangu ina baridi sana kwa sababu ina wooden floor,na rafiki yangu ameniambia kuwa dinning huwa hapawekwi rug(carpet ambalo halienei kote),je ni kweli? Please, naomba tuwekee picha au ushauri wowote kuhusu dinning room.
  Mimi,uk.

  ReplyDelete
 3. Hi anonymous wa kwanza, asante sana kwa kukubali kazi yangu, ninalifanyia kazi ombi lako.

  ReplyDelete
 4. Hi anonymous wa pili, kwa upande wa dinning huwa panawekwa rug, na rug huwekwa kama nyumba yako ina tiles,woodern floor.

  carpets huwekwa kwenye nyumba ambazo hazina hizo floors nilizozitaja.

  ila hakikisha rug yako inaendana na mapazia ama rangi ya furniture na ukuta.

  nitakuletea pia picha za dinning room zenye rugs.

  ReplyDelete