Monday, January 25, 2010

Curtain Designs3 comments:

 1. MWANAWANE MI NIMEPENDA SANA HAYO MAPAZIA, JE NAWEZA KUYAPATA? HAYO YA JUU NA CHINI KABISA. PLS KAMA UWEZEKANO UPO NITAJIE NA GHARAMA ZAKE.

  SARA

  ReplyDelete
 2. Hi sara, mapazia hua ninatengeneza kutokana na rangi za nyumbani kwako, ila hapa unachagua designs tuu, na hua inategemea na ukubwa wa madirisha yako. sasa basi ukiwa na nafasi nijulishe ili nijue ni lini nije kupima then nikupe gharama,

  thanks

  ReplyDelete
  Replies
  1. hiyo dizain ya mapazia ya white n brown sijui huwa unafanya kwa how much?

   Delete