Monday, January 25, 2010

Flag this message Nijambo la muhimu sana, kuhusu upangi wa meza majumbani mwetu
kama hapo dada silyvia alivyoonyesha, sisi tuliowengi tunadhani chakula kizuri ni mpka restaurants au kwenye vimigahawa vidogo, no hata nyumbani kwako kunaweza kupanga na ukafanya kama hotelini, ili mradi uwe na plan nzuri, ua kama una sherehe za ubatizo, birthdays, unaweza kufanyia nyumbani kwako, kama una sehemu kubwa una haja ya kulipa kumbi, tuwe wabunifu, na tupende kujifunza, mimi hapo ni nyumbani kwetu tuliwaalika marafiki, na ndugu tukawa na dinner party, in our own home, kila mtu naweza kufanya hichi kitu kwa uwezo wako. ili mradi uwe na plan nzuri ujuewe una wageni wangapi, wanapendelea nini, pia ni vizuri kama unaalika couples ni vizuri kila couple ikaleta chakula unawapa list ya vyakula watavyoleta, huku sisi usa ndivyo tunavyofanya kuokoa muda. Karibuni nyumbani kwetu hii ilikuwa party ndogo ya ndugu na marafiki zetu.

wengi, na watoto, so ilibidi tugawanye ndio maana nimesema inabidi ujuwe ni idadi ya watu watakokuja , ili uwe na mahesabu kamili, ya kila kitu, so naamini kila mtu anaweza kuwa na kupanga na dinner party na ndugu, majirani, au watoto. inategemea na dhumuni la party yako, so enjoy nawapendeni wote, mkaa salama..No comments:

Post a Comment