Friday, January 8, 2010

African theme Decoration

Hivi mnajua kama ku decorate african theme ni ghali zaidi kuliko decoration zingine zozote zile duniani? Hizi ni baadhi tu ya accessories za kiafrica. Angalia hii mitungi na hii mito, ni mizuri na inavutia sana.

Stoools za pekeeee, ni nzuri
Nimependa hii coffee table, it's real african, kiti nacho umekiona? kimefumwa na kamba
sitting room it's so nice, vinyago vizuri sana.
Hii ni guest room wapendwa, ni nzuri
wow, hiyo meza ni 2 in 1 yaani ni meza na vile vile ina mchezo wa draft, mto pia hauko nyuma
Hii ni fire place, kwa wenzetu waishio sehemu za baridi, ona throw iliyo kwenye kochi ni ya kiafrika inapendeza kwa kweli

3 comments:

 1. @Sylvia...Gal,u knw I happen to visit ur blog frequently n God I LOVE ur work.U r not selfish at ol.u share with evry1 the things most of us didn'nt know b4.Hauko kibiashara 2,ni mshauri pia...Gal,am lovin it Big Tym.Kip up tht spirit.lol.


  Your Numbr 1 fan,
  Priscar.

  ReplyDelete
 2. hii mitungi dar inapatikana wapi?

  ReplyDelete
 3. hi mdau, mitungi unaweza kupata pale mwenge wanakouza vitu vya utamadani, na vinyago, unaweza usipate kama hii, ila ukapata hata inayofanania, ama ukapenda vingine utakavyovikuta.

  karibu

  ReplyDelete