Friday, January 22, 2010

HIYI NI KABATI LA NGUO KWA WATOTO WA KIUME.
Wapendwa wasomaji wetu na wapenzi wa blog hii ya homez deco nawaombeni mzingatie rangi hizi rangi huwa zina maana yake, ktk maisha yetu ya kila siku iwe nyumbani, ofisini, mashuleni, kwenye majengo, hata kwemye mavazi tunayovaa, huku mbeleni nitawonyesha hizi rangi na ktk matukio tofaauti,.

Najuwa kuna wenzetu wenye uwezo wa kuwa na majumba yao, kumiliki sehemu za biashara mbalimbali,mahotels ila likija suala la rangi ni kirendawili nawaombeni wenye kumiliki sehemu kubwa mbalimbali ombeni ushauri,kuuliza siu ujinga kama unaweza kumiliki, vitu vikubwa iweje ushindwe kuweka mtu mjuzi anayejua kazi akaufanyia kitu kizuri wengi mnapenda, vitu cheaps quarity hili nitatizo la watz tuliowengi tunapenda kufanya vitu ili mradi tuu bila kukumbka kwamba kesho na kesho kutwa utarudia ulipe garama zaidi kwanini usigarimike ukafanyiwa kitu kizuri na cha kudumu?

Ndio maana hata kuna taaluma fotauti kuna kuna polices, kuna wanajeshi kuna archecters wa majengo, kuna designers, kuna interio designers, jamani tueshimu taaluma za watu na tuwatumia tukitaka kufanikwa ktk masuala mbalimbali,pia tuache ubaili, kuweka price tags kwenye kila jambo, aghali yes vitu vizuri garama, inasikitisha sana watznia tulio wengi tunaweza kuchangia maharusi, kitchen parties, kuvaa nguo za madesignes, kuwa kwenda miziki ya vingilio garama.

ila inafikia suala tuwachangia watoto yatima, tuchangia suala la usafi mitaani, majumbani tunapoishi tupaboresha kuweka bustani zuri tunaesma ni garama shame shame on you kuna watu wako radhi, spend pesa zao kwenye bar, na marafiki ila ukiangalia wanapolala nyumba wanazoishi, ni kitendawili na familia kwa ujumla,

stop putting price tags for every things in your life, tujipenda tupende tunapoishi, tunapolala, mazingira yote kwa ujumla yanayotuzunguka, tuyaweke safi, na kuyalinda, siku zote charity begins at home wanajamii lazima muelewe, kuwa na taifa safi kuwa na taifa lenye ktunza mazingira na kuyajali inaanzia kwenye ngazi ya familia, ila nawaombeni sana watumieni wataalamu wanaojua taalum zao, tuache ubabaishaji, ktk kila funi,, pia ubaili tuachane nao tufanye vitu vya maana na vyakudumu kwa muda mrefu, tuachane na bora liende goes around come around, mungu awalinde wote chaooo ,

From mrs j george,

3 comments:

  1. hapo mwali umegusa wengi. Hilo kabati nimelipenda kweli. Hebu weka design nyingine niweze kuzicheki maana nahitaji kuwabadilishia vidume wangu makabati yao

    ReplyDelete
  2. Hi Hilda, usijali tutakuletea designs mbali mbali.

    ReplyDelete
  3. hi dear,naomba uweke na picha za jikoni,yani tofauti tofauti nakaribia kuhamia kibandani kwangu na napenda jiko langu lipendeze.nataka niige design nzuri

    ReplyDelete