Thursday, January 14, 2010

Landscaping Lady Will be in town very soon in End of March, 2010

Kwa wale woote watakao muhitaji Mr & Mrs Jossiyane George kwa ajili ya kufanyiwa landscaping, ama garderning kwenye nyumba zao, Basi naomba tuwasiliane kwa ajili ya kufanya booking. 0713 - 920565 - Sylvia

Atakuwa na muda mfupi wa kuwa nasi hivyo itakuwa First In First Out ndio itakayo apply

Itakuwa kama hivi:
 • Tutakuja kuona nyumba yako na kupiga picha eneo lote
 • Utatoa kiasi cha sh. 35,000/= kwa kazi ya kusavei na kupiga picha
 • Tutakutajia gharama ndani ya siku 2
 • Unatakiwa kutoa 1/4 ya gharama kwa ajili ya booking, hii itatusaidia kuto ku ghairisha na kupoteza muda. Ukisha fanya booking na kulipa hicho kiwango ni kwamba gharama haitarudishwa.(We are professionals)
 • Utapewa risiti ya ku cornfirm booking yako, tafadhali itunze.
 • Hatutapenda usumbufu wowote ule ujitokeze kwenye malipo, baada ya kazi.
 • Malipo yote yaliyosalia yamalizwe baada ya kazi kufikia karibu na kuisha. Asanteni sana, na nawatakia kila la kheri.

4 comments:

 1. Sylvia, Mbona kama bei hiyo ni kubwa kwa kusavei na kupiga picha tu? sasa gharama ya kazi yote si itakuwa balaa? au ni mimi tu ndio naona hivyo? just a thought!

  ReplyDelete
 2. Hi, Gharama sio kubwa sana, ninakuja na mpiga picha professional, huyo lazima alipwe, kuna vitu vingi pia vya kuangalia, mfumo wa maji, je mbolea tutapataje jirani na kwako, udongo wa kupandi, ni vitu vingi vya kuangalia, hii ni professional land scaping. sasa kwenye gharama inategemea na budget yako. hatutaweza kukutengenezea mansion style wakati budget yako ni ndogo, tutakwenda na budget yako na itapendeza vilevile.

  Wapendwa we are dealing with professionals and not other wise.

  hii ni kwa sisi wote , kama tunaweza kununua viatu, nguo, pochi wigs,weaving za gharama zaidi ya hii bei tunayo charge, hii itashindikana vipi? kuna msemo usemao Kupanga kuchagua.

  ReplyDelete
 3. lady show us some sample work. Sio professionals maneno. Kwani so many people call themselves professionals but in real sense there are just ordinalry anybody can do. Sample of some works!! all professional work show some sample work. pics please

  ReplyDelete
 4. Nashukuru sana, na karibu kwenye blogsite yangu, ninachoweza kusema ni kua inaonyesha ni jinsi gani ambavyo ni mgeni wa blogsite hiii kama ungekua unaifuatilia, usinge tuita kua sie tunajiita profesionals,

  Blog hiiii ni professionals, na tunawaletea vitu ambavyo sio vya kubabaisha kama wengi walivyo zoea, imefika wakati wa kutoa hayo mawazo yako kwamba watu wanajifanya, ama wanakuongopea kama ulivyozoea.

  ninacho kushauri kama unaswali uliza usaidiwe, na pia endelea kuangalia blog site hiii itakusaidia sana hilo litakuwa ni jambo la busara, na hapo ndio uanze kukosoa

  ReplyDelete