Wednesday, January 6, 2010

Wall Art Painting

Ukiangalia picha iliyotundikwa ukutani, unaweza kusema ni uchafu, ila hiyo ni picha ya ukutani na unaweza kuumpa mtoto wako au hata wewe mwenyewe ukachora na ikatokea vizuri, Jiamini utaweza. Angalia pia foronya za mito. Huyu yeye kachanganyanya rangi za foronya hizo kupitia picha aliyoitundika na inaonekana super. USIJARIBU FANYA NA UTAWEZA. JIAMINI

1 comment:

  1. Kwakweli leo umenikumbusha mbali! wanangu huwa wanapenda kuchora sana just like those images. Itabidi niwe ninaziframe pia. Thanx for a good idea

    ReplyDelete