Thursday, January 28, 2010

Good News..................

Homez deco inayofuraha kuwa fahamisha kuwa sasa ina logo yake. Tumekuwa tukiifanyia kazi na sasa imekamilika. Namshukuru mungu na wadau wote kwani bila nyinyi tusingefika hapa.

Haya kama kawa tunakaribisha mawazo juu ya logo hii.

No comments:

Post a Comment