Wednesday, January 13, 2010

Kwa maharusi watarajiwa!!!!!!

Hizi ni design za mito ya kuwekea pete za ndoa, je wewe ume plan kuweka pete zako kwenye nini?( Huwa naona maharusi wengi wakati wa kutoa pete huwa zinatoka mifukoni ama kwenye pochi) THAT IS OLD FASHION
5 comments:

 1. hizo ni nzuri na zinapendeza sana kwa watarajiwa watapataje unazo hapo dukani kwako or? nijulishe kuna mdogo wangu nae ni mtarajiwa nimependa naona vipo kwenye fashion sasa.
  Mama Mario

  ReplyDelete
 2. Hi Florah,
  asante sana, hizi wedding ring pillows sina ila ninatafuta ni jinsi gani ya kuzipata nitakujulisha.

  mdogo wako harusi yake ni lini?

  ReplyDelete
 3. Sorry nilikuwa nje ya ofc but harusi yake ni April mwaka huu.
  Mama Mario

  ReplyDelete
 4. okay florah, nikianza kuuza kabla ya huo muda nitakujulisha

  ReplyDelete
 5. Mie pia nahitaji hivyo vimito, vipi bado hujafanikiwa kuvipata!tafadhali naomba nijulishe kama utakuwa tayari umeshavipata cos nina harusi mwezi wa tano.....

  ReplyDelete