Thursday, August 27, 2009

Vyoo vyetu

Kuna mdau kaniuliza swali kuwa, hicho pembeni ya choo chenye bomba ni kwa ajili ya nini? Jibu ni kwamba hilo ni sinki ya kutawazia kwa wale wasiotumia toilet paper.

2 comments:

  1. hongera kwa kazi nzuri dada, ila mie shida yangu ni hicho choo chenye bomba, Je, matumizi yake ni yapi hasa?

    ReplyDelete