Monday, August 31, 2009

Tunaongea na mifano ama sivyo?





2 comments:

  1. haya dada unajua mimi ni kijana wa kiume na nilipoona hicho kitanda nadhani ni bora nibadilishe mfumo wa chumba changu maana hicho kitanda kilivyokaa na hayo mashuka si mchezo mimi niko mwenge pouwa

    ReplyDelete
  2. asante sanaa na karibu, ninafanya pia home designing na kutoa ushauri. ukiwa tayari tuwasiliane namba ni 0713 - 920565.(sylvia - homez deco).

    ReplyDelete