Tuesday, August 25, 2009

Nani kasema tuwe tunaweka meza za mbao pekee

Pako simpo na kuzuri nimependezwa nako, kuna mtaalamu yuko sinza wa kutengeneza hizi fanicha za chuma,  anapatikana sinza mori  kama unaelekea meeda ni baada ya bumzi la mwanzoni kulia kwako kuna frem zimepangana yuko hapo, nitawatafutia namba yake

2 comments:

  1. sasa ukisikia unanipa uchizi ndio huu sasa maana nahisi kama sebuleni kwangu kukiwa hivi mbona nitanenepa naomba nipe cost ya huu uteknolojia ulionionesha ili nijipange sawa dada sylvia tena hawa wa show room hana lolote kwa mtindo wao haya ndio mambo

    ReplyDelete
  2. Kwakweli kanyumba kanaweza kupendeza mpaka basi na usiamini, nadhani sylvia ukija kupiga picha nyumbani kwangu wadau wataelewa zaidi uzuri wa wrought iron/metal furniture. Unahitaji rangi nzuri,mapazia mazuri na usijaze mavitu mengi home uone nyumba yako itakavyong'ara. (Sinzahomedesigns)

    ReplyDelete