Tuesday, August 18, 2009

Mfano wa pembe tatu nilizoongelea


hapa unaweza kuona hizi pembe tatu:

  • sinki
  • jiko
  • friji

kwa kufuata pembe tatu, jiko lako litakuwa katika mpangilio mzuri na litapendeza sanaaaa ( jamani hii ni mfano tuuu sio lazima uwe na friji kama hii) hata za kawaida tuuu.

No comments:

Post a Comment