Friday, August 28, 2009

Jinsi ya kutengeneza maua wewe mwenyewe

Jinsi ya kutengeneza maua kwa urahisi, haya ni maua freshi,  nirahisi kutengeneza.

Nunua chungu cha maua cha kioo, weka maji nusu, chukua maua yako  kata ncha kwa kiupande kwa kutumia mkasi, hii husaidia shina la ua kufyonza maji, maua yako ya aina nyingi.  

Kama unaamua kuweka maua waridi maua haya hayavumilii joto, yanauwezo wa kukaa siku 3.

Nashauri utumie maua yanayoitwa tropiko. Haya yanauwezo wa kukaa wiki moja, wee kazi yako ni kubadilisha maji tuuu. Ni rahisi kutengeneza na hayana gharama, wewe mwenyewe unaweza kutengeneza pia. yanatumika kokote, nyumbani, ofisini etc.




2 comments:

  1. Please naomba pia kama una idea za namna ya kupanda bustani za maua utumwagie manake sio wote tunaoweza kupangilia aina za maua kwenye bustani.
    Blog yako nzuri sana, please keep it up!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. nimependa de way ulivyo 2pa ufundi huu bt de way namna ya kupnda bustan

    ReplyDelete