Wednesday, August 12, 2009


mtakubaliana na mimi kuwa rangi nyeusi inaingiliana  na kila rangi na kila mahali. mimi taa tu ndio imenikosha nyie wenzangu je?

2 comments:

  1. Hello naipenda sana blog yako kwani usually huwa napenda niwe na vitu km unavyotutolea kila leo ktk blog yako, mi nilikua nahitaji picha za vitanda ambavyo vipo hapo homez deco kwani nahitaji niweke ktk rum ya wageni hata ukilalisha huko mate yamtoke.
    Asante

    ReplyDelete
  2. Hi to u tooo! asante sana, sasa kwa sasa ninavitanda ambavyo ni vya chuma tuu na ni imara sana uki linganisha na vyambao, na endelea kuangalia blog site hii ukiona inayokupendeza basi toa order na utaipata ndani ya siku saba. Mteja kwetu ni mfalme. Karibu sana

    ReplyDelete