Thursday, August 20, 2009

hizi ni baadhi ya stendi za chooni,

2 comments:

  1. sehemu yenye raha kuliko zote hii, ingawa waafrika hatuiangalii sana, hii ni sehemu ya pili kwa raha duniani

    ReplyDelete
  2. he nilikua natafuta vtu kama hivi naomba oda ya seti kama hii tafadhali kama ipoon stock nijulishe jamani mbona tumepata mkombozi wa maisha yetu endelea kutupa vitu vizuri kama hivi haya si ndo maisha sasa

    ReplyDelete