Wednesday, August 12, 2009

siting room ama sitingi room naombeni msaada wa kiswahili fasaha!


ugonjwa wangu mkubwa ni rangi tena crazy colors, ona jinsi rangi zilivyo changanywa mpaka blue iko, nitafanya utafiti huo urembo wa mezani nimeupenda sanaaaaaaaaaaaa(samahani kama nitakuwa nachanganya kidhungu na kiswahili wajameni, si unajua mie ni mswahili tipikooo)

No comments:

Post a Comment