Monday, August 31, 2009

Maana ya pisi za maua waridi (rose)

Pisi 50 - Mapenzi yangu kwako hayana kikomo
Pisi 24 - Mimi ni wako
Pisi 12 - Kuwa wangu
Pisi 6 - Nimeanza kukupenda
Pisi 3 - Wewe, mimi, na penzi letu kwa pamoja
Pisi 2 - Naomba tuwe pamoja
Ua 1 - Nakupenda na wewe ndio chaguo langu

2 comments:

  1. nilikua sijui kama decoration ni mpaka katika mapenzi ingawa watanzania hatuna desturi ya kupeana maua hasa hutoa zawadi kama kadi tena iwe valentine au sikukuu ila wakitembelea hii site watajifunza nini maana ya zawadi wanazozitoa hongera sana sister ila nitakutafuta kutoka morogoro

    ReplyDelete
  2. ahsante sana kwa kutupa maana ya maua maana ni mara nyingi tumekuwa tukiletewa na hata kuwapa maua wenzi wetu ha marfiki lkn hatujui.

    ReplyDelete