Wednesday, August 12, 2009

Do you want relaxed room


kama unavyo ona hapa, thamani zilizopo hapo ni za mbao, taa zake ameamua  kuzivalisha covers kupunguza mwanga,  mpangilio wa rangi pia ni mzuri. kwa kukisia tuu hakutumia gharama nyingi kwani hata kwetu si kuna mbao na mafundi wazuri si tunao jamani?

2 comments:

  1. waoh!
    kitanda kilivyo tu ucngzi tosha!

    ReplyDelete
  2. yaani halafu unafikiri ni bei ya kutisha basiii,
    kwa wapokea salary,maana ukinunua kitu kitakaa hata miaka kumi ukikitunza

    ReplyDelete