Thursday, August 20, 2009

Si fundi fanicha anaweza kutengeneza?

4 comments:

  1. jitahidi kutuonesha picha za bongo na mazingira ya tanzania maana picha nyingi naona ni vitu vya nje msisimko unapotea

    ReplyDelete
  2. jamani
    me naona nisawa hata kama nivitu vya nje haijalishi so long as nikizuri
    kwani amesema blog yake ni home decor bongo things tu?
    slyvia wangu please tupostie kila ulichonacho, watu tunatofautiana taste

    ReplyDelete
  3. uko sahihi Anonymous wa pili-robert

    ReplyDelete
  4. Hata mimi nakuunga mkono anony wa pili kwani bongo kila kitu tunaiga tu tuna chetu? Kashfa tuuu, Lete vitu sylvia, mie napenda saana mambo ya humu nikiona nafanya kila njia nampatia fundi wangu km sina uwezo wa kununua nikiwa nao poaa. Kaza buti Dada hao ndio wabongo achana nao

    ReplyDelete