Tuesday, November 27, 2012

Swali kutoka kwa mdau....Hi,naitwa angela ninapenda blog yako coz huwa ninapata ideas nyingi nzuri kwa kuboresha nyumba yangu.ninaomba unisaidie namna ya kujiunga gnld au kama unaweza niunganisha na mtu ambaye atanisaidia kujiunga nao.ningependa kuwa nanunua bidhaa kwa ajili ya nyumbani kwangu hasa sabuni ya kufulia.nitashukuru sana kwa msaada wako.
stay blessed.

Jibu, 
Naomba tuwasiliane kwa namba hii 0713 - 920565 nikupe maelekezo, maana hukuweka contact yako niweze kukuelewesha.
Na kwa kujiunga unakua unanunua kwa bei nafuu....Karibu

No comments:

Post a Comment