Wednesday, November 28, 2012

More wallpapers...available @ Homez Deco.....


Wallpapers ziko za kila rangi, karibuni mno....na nina furaha kwamba sasa mnaweza kuzipata ofisini kwetu, na kubandikiwa ukutani bila ku chajiwa zaidi.....

Niliulizwa na mdau kua hizi wallapaper nazipata wapi?
Jibu ni kua ninaletewa kutoka South Africa na USA.......

Wallpaper za jikoni na bafuni sina....ila zikifika nitawajulisha humu humu

2 comments:

  1. tx kwa kujibu naomba blue plain na green plain pliz thanks so much

    ReplyDelete
  2. Hi mama j! Unatengeneza double deka za chuma? If yes futi nne ni sh ngapi?

    ReplyDelete