Tuesday, November 13, 2012

Dulux Products (Sadolin Paints (T) Ltd)....Metal paint...What is Hammerite Paint?
This metal paint combines both the undercoat and topcoat into one. It offers a brilliant glossy finish that feels smooth to the touch, and forms a barrier that provides long-lasting protection by sealing out moisture both out and inside.

The paint is easy to use and you can use it on both non-ferrous and ferrous metals. The most common color of this paint is Hammerite metal paint in red. The paint is also designed in such a way that protects the metal from rain, humidity and even rust.

AVAILABLE COLOURS:
BLACK
BLUE
SILVER
GOLD
WHITESasa tumepata mkombozi, kwa upande wa vitu vya chuma, iwe ni furniruters, iwe ni mageti, iwe ma grill ama chochote kile cha chuma....mkombozi amepatikana....

Tumekua tuki zoea kua kabla ya kupaka rangi kwenye vitu vyetu vya chuma hua tunapaka kwanza red oxide halafu ikishakauka ndio tunapaka rangi tuliyokusudia....Lakini hii hua inachelewesha sana...

Sasa basi Sadolin Paints (T) Ltd sasa wanakuletea mkombozi.....
Product hii mpya inatwa Hammerite.....ambayo iko 3 in 1,  yaani tayari imeshachanganywa Primer, Gloss, na  Undercoat, na unaipaka moja kwa moja kwenye fanicha zako......

Inapatikana katika Rangi 5, ambazo ni:

BLACK
BLUE
SILVER
GOLD
WHITE
Zinapatikana katika ujazo wa, (tshs)

1/4 lit. = 10,000/-
 1/2 lit.  =16,000/-
1 lit. =23,500/-
5 lit. = 113,000/-

Tunakukaribisha kwa mahitaji yako ya Hammerite:

Wasiliana na: 0713 - 920565,  0715-487388

No comments:

Post a Comment