Wednesday, November 7, 2012

Rangi za watoto vyumbani.......

 Age 4-8 Boys
 Age 8-13 Girls
 Teens 13+
Hizi ni rangi za watoto zinazotumika kwa asilimia kubwa.... Rangi hizi zinaweza kutumika sio tuu ukutani, bali hata kwenye mapambo yao kama mashuka, caperts, picha za ukutani, n.k.

Kwa muongozo huu unatakusaidia sana katika kupamba chumba cha mtoto wako kuendana na umri....maana sie tumezoea tuu blue na pink....

Angalia mtoto wako ana umri gani, na angalia katika rangi hizi ana fit wapi....na utumie rangi hizi..

Unaweza kutumia rangi zote, ama moja ama mbili ni wewe tuu kadri upendavyo....

Kwa mahitaji ya rangi hizi... Homez Deco tunashirikiana na Sadolin ambao wana rangi za Dulux... Utapata rangi hizi zote....

Rangi hizi ziko katika makundi matatu. ambayo ni:

Rangi za maji,

Rangi za mafuta

Rangi za silk ama wash 'n' ware na ndio ambao wengi wetu tunazozitumia...

Karibu tuwasiliane kwa mahitaji ya rangi......

No comments:

Post a Comment