Wednesday, November 7, 2012

Mali mpya......Mito ya kwenye sofa, sakafuni, na kitandani...(mito na foronya zinatengenezwa na Homez Deco...karibu ujionee tofauti ya mito yetu, na haitoi harufu ni misafi nani soft)

 Mito hii iko tayari kwa kuuzwaaa Mito hapo juu iko tayari kwa kuuzwa....imejaa vizuri, muonekano wake mzuri, na pia ni soft sio migumu...na haisinyai mapema......
 Mito ikiwa bado haijavalishwa foronya zake.... mito ya kwanza kushoto ni size 55 by 38
 Mito size 45 by 45
 Mito size 45 by 30


Bei ya mito kwa size hii ni bila foronya zake:

1. 55 by 38 = tshs. 18,000/-mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani


2. 45 by 45 = tshs. 15,000/-mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani


3. 40 by 40 = tshs. 15,000/-mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani


4. 45 by 30 = tshs. 12,000/- mito ya kwenye sofa/makochi, kitandani

5. 88 by 88 = tshs. 45,000/- mito ya chini sakafuniBei ya foronya za mito kwa size

 55 by 38 = tshs. 13,000/-

2. 45 by 45 = tshs. 12,000/-

3. 40 by 40 = tshs. 12,000/-

4. 45 by 30 = tshs. 10,000/-

5. 88 by 88 = tshs. 15,000/-

No comments:

Post a Comment