Thursday, November 22, 2012

Sorry kua kimya...

Napenda kuwaomba radhi kwa ukimya wangu....Nilikua ninauguliwa na mtoto. na pia naomba kwa baadhi ya wadau, msiwe mnanilaumu, mkiona kimya mjue kuna kitu siwezi kaa kimya bila ku update blog, nami ni binadamu na matatizo humtokea kila mmoja wetu......

Samahani kwa usumbufu mlioupata....

3 comments:

  1. Pole kwa kuuguza. "Get Well Soon Jiden"

    ReplyDelete
  2. POLENI SANA, NA KWELI TULIMISS.. KILA TUKICHUNGULIA WAPI! HOPE ANAENDELEA VIZURI.

    ReplyDelete
  3. Asanteni sana sana, nashukuru mungu sasa Jaydan anaendelea vizuri....na niko kazini tena...

    ReplyDelete