Wednesday, November 14, 2012

I love my self......Ukijipenda kwanza wewe mwenyewe, basi hata wengine watakupenda. haijalishi una hali gani, tariji, maskini,    mnene ama mwambamba, mfupi ama mrefu, jikubali kwanza wewe mwenyewe na ridhika ulicho nacho......

Kwa kweli ninajipenda mimi kama mimi, na ninafurahi kua mimi kama mimi, na ninafurahia mafanikio yangu mpaka hapa nilipo tena kwa juhudi zangu binafsi.......napenda kazi yangu na ninajivunia kwa kazi yangu...kwani ndio iniwekayo mjini......

Kwa upande wa ngozi yangu hakuna mkorogo hapo hata kidogo.....ni products za shear butter ambazo ziko njiani zaja toka marekani......nitawajulisha humu humu zikifika.

Napenda kushukuru wateja wangu wotee kwa kuni support, na kuniamini, etc.......yaani sijui hata nisemeje.....ninawashukuru mno...

Kazi inaendelea kama kawaida......na tukumbuke ndio tunaingia mwezi wa kumi na mbili...sikukuu ndio hizo karibu....tumejiandaaje?

Kwa upande wa pazia, rangi za ukuta, kubadilisha vitambaa sofa, mapambo, mpangilio wa nyumba, vitanda vya chuma......etc.

Haujachelewa kabisa......Karibu tuwasiliane kwa mahitaji yako ya nyumba yako.


5 comments:

 1. Me love you and your work... be blessed

  ReplyDelete
 2. umependeza hadi raha mamy

  ReplyDelete
 3. Umetokelezea sana

  ReplyDelete
 4. huu ni mwisho wa mwaka ni muda mzuri wa biashara lakini mbona uko kimya hutupi vitu vipya tukashawishika kununua au hakuna?

  ReplyDelete