Tuesday, November 6, 2012

Kazi ya homez deco.....Temeke.....wiki iliyopita

 Kazi ikiwa imekwisha.....ya pazia
 Sitting room inavyoonekana ikiwa tayari tumekwisha weka pazia....
 Dinning room nayo ikiwa iko tayari tumeshaweka pazia
 Kabla hatujaanza kazi sitting room inavyoonekana


 Nikiwa kazini kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.......
Kazi ikiwa inaendelea......

Nashukuru wateja wangu kwa ushirikiano wenu........

Kipindi hiki ni kipindi cha asilimia kubwa ya watu wanarekebisha ama kumalizia nyumba zao, ili kuweza kuhamia na kua tayari kabisa kwa ajili ya sikukuu ya X-mass na New year......

Tunakukaribisha.....

2 comments:

  1. kwani sylivia dadayangu hua ushauri wateja wako juu ya rangi za mapazia ili yaendane na mandhari nzima, ee wajameni yani pazia hata utamu wake sijaona, kazi imepoa mno

    ReplyDelete
  2. mapazi naona yamebore hayajavutia. jitahidi

    ReplyDelete