Thursday, November 22, 2012

Site ya Kitunda (Dar) - Homez Deco, tuliweka curtain poles, pazia na vitanda vya chuma na neti .....


 Hapa ndio sitting room baada ya kazi kumalizika jinsi kunavyoonekana...rangi ya ukuta ni blue....hivyo nikaweka pazia hizi, zenye doti doti ziweze kuleta mvuto zaidi.....


Kitanda .....kikiwa na neti yake....(ijulikane kua hatuuzi kitanda na godoro)
 Dinning room pazia zikiwekwa vizuri...
 Dinning room
 Pazia za dinning room
 Pazia za chumbani.....
 Sitting room,
 Pazia zikiwekwa vizuri za sitting room
Hizo ni pazia za jikoni, na hizo nyaya ni za hita......

Nina tatizo kidogo la network, ila linafanyiwa kazi.....Nitawaletea picha zaidi, tukisha solve tatizo hili.....

Nyumba hii  ni mpya, na mwenye nyumba anataka kuhamia mwezi wa kumi na mbili, hivyo anafanya kwa awamu, tumemaliza pazia, vitanda, sasa anajiandaa kuweka furniture zingine zilizobaki, kama sofas, etc.......

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza......

4 comments:

  1. CURTAIN POLE NZURI SANA, GOOD JOB, ILA MNAWEZA KUDESIGN ZA KIAFRICA? SIJUI ITAKUWA VIPI.. NINGEPENDA KUJUA, MAANA NAPENDA NYUMBA KAMA NI AFRICAN THEME, BASI IWE ALL THE WAY..., ASANTE

    ReplyDelete
  2. hi, tunaweza ku design kiafrika ila ni mpaka mteja atakapopenda, so far sijapata mteja anaependa kufanyiwa design ya kiafrika....Karibu sana na nitafurahi nikufanyie design ya kiafrika...

    ReplyDelete
  3. Jamani sylvia nimependa sn kazi zako kwakweli wewe ni mwanamke shujaa Hongera sana sana kazi nzuri sn! classmet ntakucheni kwa phone

    ReplyDelete