Friday, November 23, 2012

Metal Furniture....

 Furniture zikiwa tayari kwenda kwa mteja.....
 Poziiii.........................
Nikiwa nimepozi kwenye kazi yangu......Kwa kweli hua ninaona raha sana pale ambapo nimefanya kazi na imetoka safi na nzuri....Nimeweka rangi hizi tunaziita neutral colors, mteja wangu anapenda rangi hizi......

Hapa ni wakati kabla hazijaondoka kwenda nyumbani kwa mteja....ziko ofisini kwa nje.......seti ya hii sofa ni ya watu watatu 2 na yawatu wawili 1.......


Naomba ijulikane kua hiki ndicho kipindi cha kujiandaa kutengeneza kwako, ama kujiandaaa kumalizia nyumba yako na kuhamia, ama kupamba nyumba yako......Karibu sana Homez Deco tutakusaidia kwa hili......

9 comments:

 1. hongera kwa kazi nzuri,na mie nimependa sana yaani neutral colour kama hiyohiyo,je nikitaka sofa la watu watu wawili2 na mtu mmoja2 bei yake ikoje
  asante

  ReplyDelete
 2. hongera sana dada kwa kazi nzuri sana,samahani hivi na zile sofa wanaziita za miti ya bamboo sijui vp unatengeneza? zinakuwa km culture fulani hv
  ubarikiwe

  ReplyDelete
 3. Hi dear, wewe ni designer wa ukweli napenda sana kazi zako but nataka kujua sofa ya watu wawili hiyo ya metal ni bei gani, Thanks

  ReplyDelete
 4. Asante nonymous wa kwanza.... kwa seti hiyo unayohitaji gharama itakua ni 1,800,000/- Seti hii inangia mito mingi na kitambaa kingi, na quality ninayotumia ni nzuri....unaweza pia lipia kwa installment. Karibu

  ReplyDelete
 5. hi, anonymous wa pili, vile viti mimi sina ila vinauzwa pale mbuyuni kama unakwenda oysterbay....barabarani kabisa.....

  ReplyDelete
 6. Hi anonymous wa tatu, kiti cha watu 2 kitakua ni 600,000/- kwa design hii....karibu

  ReplyDelete
 7. hi hongera kwa kazi yako nzur mdada na je nikitaka kiti cha watu wawili viwili inakuwa shilingi ngapi?

  ReplyDelete
 8. Am in mwanza..I nid something like that.do u deliver to upcountry regions?

  ReplyDelete
 9. Hongera sana kwa kazi nzuri, kwa kweli nimechoka kukaa kwenye nyumba isiyokuwa na mvuto naomba sana ufike kwangu na unisaidie namna ya kuipendezesha nyumba yangu

  ReplyDelete