Thursday, September 20, 2012

Una fanicha ambazo ungependa kuziuza....


Habari ndugu wadau..

kwa wale wote, ambao mngependa kuziuza fanicha zenu na zilizo katika hali nzuri, tutazitangaza hapa hapa kwetu, kwenye blog hii yetu.

Karibuni wote..

3 comments:

 1. Hello,je!nitawezaje kuziuza furniture zangu humu?

  Thanks

  ReplyDelete
 2. Poor metal furniture.no creativity kila siku maua yale yale everything kile kile.hivi unafanya research kweli?for years now natembelea blog yako mambo yale yale kwenye kazi zako.Huu ni utapeli huna kipaji

  ReplyDelete
 3. JAMANI ACHA KUMUONEA SYLVIA, MBONA SIE HATUONI KAMA MAUA YALE YALE, WE KAMA UNA UA LA TOFAUTI, MPELEKEE ATAKUTENGENEZEA, WATU WENGINE MNA MAMBO, SIJUI WIVU? DADA WA WATU ANAJITAHIDI SANA KUCHAKARIKA NA ATAFIKA MBALI

  ReplyDelete