Wednesday, September 26, 2012

Master Bathroom

 Sehemu hii ya sink, ni kwa ajili ya watu wawili, na hii husaidia sana, kuto gongana, ama kusubiriana wakati wa haraka, maana kila mtu ana sink lake, kama bafu lako lina nafasi, nashauri muwe na bafu la namna hii na lenye nafasi....
 Design hii ya bafu, ni nzuri pia, maana kunakua  na privacy wakati mmoja yuko kwenye sink na mwingine yuko upande wa pili...
 Design ya shower hizi zimeshaingia sasa hapa kwetu Tanzania, kwenye baadhi ya nyumba ninazokwenda kufanya kazi nimeshazikuta, zipo......
 Mabomba yako mengi na yako tofauti tofauti, hivyo basi ukiwa unachagua chagua unalolipenda na linalokuvutia... usije lichoka muda mfupi baadae..
Uchaguzi ni wako kati ya haya mabafu.... kwa upande wa chumba cha master bedroom yako.....

No comments:

Post a Comment