Thursday, September 6, 2012

Kwa wale tunaopenda kupamba vyumba vyetu kwa mapambo ya kitamaduni, basi waweza kuweka kapeti za ngozi za wanyama, ama mapambo ya kitamaduni kiasi tuu yasizidi, kama picha za ukutani, taa, stuli foronya, mashuka etc.....

Nadhani kwa ngozi za wanyama kwa hapa Dar waweza kupata mwenge wanakouza vitu asilia, na sleep way..... kwa wale wanaojua wapi twaweza kupaata zaidi, naomba tuwasiliane na nitawaeleza wadau wenzetu

2 comments:

  1. KAZI NZURI SAANA DADA, TULIKUOMBA UTUWEKEE IDEAS ZA KIAFRIKA, TUNASHUKURU KWA KUTUMIA MUDA WAKO KUSHOTO KULIA NA KUTUWEKEA KUANZIA BEDROOM MPAKA SEBULE, ASANTE SANA DADA, KAMA KUNA IDEAS NYINGINE KEEP POSTING TAFADHALI, UBARIKIWE KWA KAZI UNAYOIFANYA.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana home decor kwa kutufundisha kupamba nyumba.

    ReplyDelete