Monday, September 10, 2012

Neti.....


Haijalishi una neti ya aina gani ndio ukipende chumba chako........ neti uliyonayo kama imechakaa basi nunua ingine. kama ni ya pembe nne ama ni ya round.

4 comments:

  1. mambo sylivia.hizo net unazo wewe au zinapatikana wapi? na cost yake unaijua?

    ReplyDelete
  2. hizo za white ni neti. Hizo nyingine ni shear! Je uantengeneza? bei gani ? nimetafuta sana hii kitu karibu Dar nzima.

    ReplyDelete
  3. Neti nzuri.. zinapatikana wapi? ila jamani kama tungekuwa hatuna mambo ya mbu.. kitanda kinapendeza na picha juu yake, lakini kutokana hali yetu ya mbu wasioisha.. itabidi tupambane na neti, ila katika style ya neti hizi, zinapendeza kwa kweli..

    ReplyDelete