Tuesday, September 11, 2012

Neti zinazopatikana Homez Deco

Habari wapendwa wadau, hizi ndizo neti zinazopatikana hapa homez deco. kitanda chako kinatakiwa kiwe na chuma ama mbao za pembe nne.

bei ya neti ni kama ifuatavyo:
1. Neti ya kitanda cha 5 by 6 - tshs. 100,000/-
2. Neti ya kitanda cha 6 by 6 - tshs. 150,000/-
3. Neti ya kitanda cha 4 by 6 - tshs. 80,000/-

Na ninachoweza kusema ni kwamba neti hizi tokea nimezitambulisha kwenu kua zinapatikana hapa, kwa kweli nimekua nikipata orders nyingi mno. hivyo ninawashukuru wote na karibuni wote.......

kwa watu wa mikoani mkihitaji tutawatumia kwa basi, ila utalipia gharama ya usafiri. na kwa watu wa DAR ninachoweza kufanya ni kuwaletea mpaka ofisini kwako ila utalipia usafiri....

karibuni wote......

2 comments:

 1. Ninavyobarikiwaga Syliva na kazi zako?! we acha tu.
  na zaidi nikiona hicho kitanda changu na baby K hapo juu . Ulitufanyia jambo jema sana. I am very thankful kwa Kitanda na net yetu. Imetufaaje! Na vichuma vyetu!

  Asante and keep up the good work.
  Mom K

  ReplyDelete
 2. hi mom K> asante sana.... nawashukuru nanyi pia...karibu kwa ajili ya dressing table sasa.... msalimu K atakua mkubwa sasa....

  ReplyDelete