Monday, September 24, 2012

Main Sponsor of our blog.....

Homez Deco, tunapenda kuchukua fursa hii kuwashukuru Dulux paints -Sadolin, kwa kua sponsor kwenye blog yetu....

Kampuni hii ndio ya kwanza Tanzania kua na rangi nzuri, na zinazobana matumizi kwa utumiaji na ambazo hazichafui mzingira...

Na kama tunavyojua Homez Deco haiwaletei vitu bila kufanya uchunguzi kwanza......

Kampuni hii ya rangi ina rangi zaidi ya 3000 tofauti tofauti.....

Tunapenda kuwakaribisha kutumia rangi hizi...

Nitawaeleza ni jinsi gani mtazipata rangi hizi hivi karibuni.......


No comments:

Post a Comment